Neuralink wana nia ya kuleta mapinduzi kwenye upande wa matibabu
Binadamu wa kwanza aliyewekewa chip kwenye ubongo (Neuralink) ameonyesha ahueni baada ya upasuaji huo kukamilika , huku bilionea Elon Musk akifichua kwamba mgonjwa huyo sasa anaweza ku-control (mouse) kipanya cha kompyuta kupitia mawazo yake pekee
Ukiachana na uwezo wa binadamu huyo ku-contol Mouse (kipanya cha computer) Neuralink, wana nia ya kuleta mapinduzi kwenye upande wa matibabu, wamepanga kupanua teknolojia yake ikilenga kutibu Msongo wa mawazo na kunenepa kupita kiasi.
Share: