Naibu katibu mkuu Wizara ya Sanaa utamaduni na Michezo Methusela Ntonda akikagua uwanja Arusha

Viongozi mbalimbali ikiwemo Naibu katibu mkuu wa sanaa utamaduni na michezo wafika Arusha kukagua miradi ya uwanja mpya unaojengwa

Naibu katibu mkuu Wizara ya Sanaa utamaduni na Michezo Methusela Ntonda aliambatana na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa uwanja wa Mpira Mkaoni Arusha wakati wa kikao kazi cha Mwezi cha Maendeleo wa mradi huo.


Share: