Kumekuwa na tabia ya watu kuweka simu zao kwenye mchele pale zinapoingia maji
Kumekuwa na tabia ya watu kuweka simu zao kwenye mchele pale zinapoingia maji ili zikauke
Sasa kampuni ya Apple inawatahadharisha watumiaji wa Iphone kuhusu kutumia mchele kukausha simu zenye unyevu, ikitaja uharibifu unaoweza kutokea kutokana na chembe za mchele
Badala yake, kampuni inashauri kugonga-gonga simu kwa upole na kuruhusu hewa iingie katika eneo lenye uingizaji hewa mzuri kwa angalau dakika 30, au hadi siku nzima.
Share: