Maboresho mapya ndani ya mtandao x

Vipengele vipya vyaongezeka kwenye mtandao wa X

Mtandao ''X'' wa Elon Musk, ambao hapo mwanzo ulikuwa ukifahamika kama Twitter umeongeza vipengele viwili vipya kwa watumiaji wake.

Maboresho hayo ni ongezeko la kipengele cha kupiga simu za video na sauti (video and audio calls) lakini hii ni kwa watumiaji wa ''X Premium'' pekee, yaani waliolipia kitiki na kwa kuanza ni watumiaji wa mfumo wa IOS kwanza alafu siku zijazo ndiyo itatambulishwa kwa watumiaji wa mfumo wa Android.

Share: