Wengi wanasikiliza ila hawatatui kero za wananchi-makonda

Wananchi wamejikuta wana idadi ya viongozi waliowapelekea kero zao lakini viongozi hao hawakuwahi kutatua kero zao.

Watu wanasikilizwa kero zao tatizo tulilonalo sio kusikiliza kero za wananchi, tatizo ni viongozi kutokutatua kero za wananchi.

Kusikiliza sio tatizo. Ndio maana kila ukienda mahali utaambiwa nilienda kwa fulani, nilienda kwa fulani."

Wananchi wamejikuta wana idadi ya viongozi waliowapelekea kero zao lakini viongozi hao hawakuwahi kutatua kero zao.

"Jambo hili limetufanya kujikuta tuna mambo mengi, hapa kwenyewe Lumumba,makao makuu Dodoma ofisi yetu inapokea watu wengi sana,kwa siku wanafika takribani 100-

 mpaka watu 200.

Maelekezo ya chama kila aliye na nafasi ana wajibu wa kutatua changamoto aliyopelekewa na wananchi na afahamu kuwa ile ofisi siyo yake ni ya umma

"Kutokutatua changamoto za wananchi ni kuendelea kulimbikiza matatizo na kuwafanya wananchi wachukie serikali yao na chama chao."-

Paul Makonda :Katibu wa NEC itikadi,uenezi na mafunzo

Share: