Vijana msikatishwe tamaa katika harakati zenu za kusonga mbele

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mnec Leornad Mahenda Qwihaya amewataka vijana Kutokukatishwa tamaa Katika harakati za kusonga mbele badala yake wasikate tamaa na waongeze juhudi

Mnec Qwihaya ameyasema hayo wakati alipokuwa Mkoani Singinda wakati wa ufunguzi wa kambi ya mafunzo ya vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM ambapo Mheshimiwa Mnec Qwihaya alikuwa Mgeni Rasmi na amefunga kambi hiyo iliyokuwa na vijana zaidi ya 1000 huku pia akiwasisitizia uzalendo kwa Taifa na Kutokata tamaa

“ nacho taka niwaambie Vijana msikatishwe tamaa na mtu yeyote katika harakati zenu za kusonga mbele japo kuwa mnaweza mkaanza safari watu wengi lakini mkamaliza na watu wachache niwaase msikate tamaa”



Share: