Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amepiga marufuku Hospitali za Serikali kuzuia miili pindi Mgonjwa anapofariki wakati akipatiwa matibabu

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amepiga marufuku Hospitali za Serikali kuzuia miili pindi Mgonjwa anapofariki wakati akipatiwa matibabu kwani kufanya hivyo ni kukiuka maelekezo ya Serikali.

Waziri Ummy ameagiza Waganga Wafawidhi wa Hospitali zote za Serikali kuzingatia mwongozo wa Serikali wa kutozuia maiti Hospitali.

Share: