Rais wa Ujerumani Mhe. Frank-Walter Steinmeier akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mhe. Frank-Walter Steinmeier akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Oktoba, 2023. Pembeni yake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Share: