
Kikao cha Mawaziri kinacho Ogozwa Mhe. Raisi Samia kinacho fanyika Tarehe 22 mwenzi Juni 2025 ikulu ,Mawaziri na viongozo mbali mbali akiwemo Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt Hussein Ali Mwinyi wawasili ikulu jijini Dar es salaam kushiriki kikao hicho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 22 Juni, 2025.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 22 Juni, 2025.
Mawaziri, Makatibu Wakuu pamoja na viongozi wengine wakiwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 22 Juni, 2025.
Tufatilie kupitia kisumbuzi @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi. #STBongoUpdates #NyumbaniKwanza