
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza zoezi zima lauapishaji wa vingozi mbalimbali wa ngazi tofauriikiwemo wa kuu wa mikoa ,wizara ,ofisi ya Makamu wa Raisi na nyazifa zingine mbai mbali,Ikulu chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Peter Lawrence Makenga Msoffe kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhandisi Athumani Juma Kilundumya kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo (Umwagiliaji na Zana za Kilimo) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimiapisha:,
Ndugu Abdul Rajab Mhinte kuwa Katibu Tawala, Mkoa wa Dar es Salaam kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025,Pia alimwapisha Ndugu Agnes Kisaka Meena kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
akimuapisha Dkt. Frank George Haule Hawasi kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.