tunafaidika na ongezeko kwa muda mfupi na baadae tunaingia kwenye giza.
“Kuna nyakati tulikuwa tunatengeneza miradi ya umeme ya megawati 100,50 na megawati 20 matokeo yake ongezeko linakuwepo na tunafaidika na ongezeko kwa muda mfupi na baadae tunaingia kwenye giza.
“Wakati mwingine wataalamu wetu walikuwa wanatoa ushauri ili baadae kuwe na tatizo halafu wajipatie fedha kutokana na lile tatizo. Serikali ya Chama cha mapinduzi imeshtuka.” Mhe. Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa Ccm.
Share: