
Donald Trump bado anaendelea na Hotuba yake na amegusia tukio lililomkuta la kukoswa na risasi kama ni Mungu alimuokoa na kifo kwaajili ya Wamarekani
Watu wengi wameniambia kwamba Mungu aliokoa maisha yangu kwa sababu fulani: Na sababu hiyo ilikuwa ni kuiokoa nchi yetu na kuirejesha Marekani kwenye ukuu.” amesema Donald Trump Mshindi wa Uchaguzi wa urais wa Marekani 2024
Share: