Mapema hii leo Tarehe 30 mwezi Juni 2025 ,MH.ABBAS TARIMBA amefunguka mengi kuhusu siasa naikiwa tunaelekea kwenye msimu wa uchaguzi wa viongozi wa kuu wa nchi ikiwemo madiwani,wabunge na Rais wa Jamuhuri wa Tanzania,

Moja Kipindi kikubwa kinacho husiana na maswa ya siasa na jamii kwa ujumla "THE MORNGING BANTU" ndaniya chaneli ya St Bongo, kimekuwa na mahojiano Mbashara na Kiongozi MH. ABBAS ambae ni Mbunge CCM, wa Kinondoni Jimbo kubwa jijini Dar es Salaam . Tazama na kusikiliza Mahojiano haya upate mengi usio yajua kuhusu Kinondoni na Siasa kwa ujumla ikiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi mkuu, huku fomu mbali mbali zimechukuliwa na watu mbali mbali ikiwemo watu maarufu. Unaweza kutoa maoni yako na kuendelea kutufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.


Share: