Mheshimiwa Mbunge Mpina akiwa bungeni makao ma kuu ya nchi ya Tanzania ,Jiji la Dodoma amezungumza hayo akiwepo na kuchangia kwenye kikao cha makadirio ya matumizi na mapato ya wizara ya biashara na viwanda
Mbunge wa jimbo la kisesa ,Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina ,amesema wapo waekezaji wa ndani wamekuwa wa kilala mikia kupokonywa kazi na uwekezaji wa kigeni, hivyo wizara ya viwanda na biashara haina humuhimu wa kuwepo na ikiwezekana ivunjwe kwa kuwa haiwez kutatua changamoto za wafanya biashara nchini.
Yalio jiri juu ya sakata hili bungeni waziri mwenye dhama kubwa ya wizara ya viwanda na biashara Tanzania Dkt. Sulemani saidi Jafo amemjibu ,tazama na kusikiliza hio video na utapata uchambuzi makini kutoka kwa watangazaji wetu live kutoka studio zetu za st bongo katika kipindi pendwa the morning Bantu.