Kinana amezuru kaburi hilo akiwa katika siku ya kwanza kati ya mbili ya ziara yake ya kukagugua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na uhai wa Chama mkoani humo.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, hayati Dk. John Magufuli akiwa ziarani mkoani Geita.
Kinana amezuru kaburi hilo akiwa katika siku ya kwanza kati ya mbili ya ziara yake ya kukagugua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na uhai wa Chama mkoani humo akiambatana na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela.
Share: