Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Ccm imemteua Amos makala kurithi nafasi ya paul makonda

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Ccm tanzania iliyokutana leo tarehe 03 Aprili, 2024 jijini Dar es Salaam katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na masuala mengine Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Imemchagua Ndugu Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo akichukua nafasi ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.


Share: