Mhe. mary chatanda alia kwa uchungu mara baada ya kukutana na mama mjamzito aliesombwa na mafuriko kisha kuokolewa na kujifungua salama