Makamu wa rais dkt. philip mpango amehudhuria katika misa takatifu ya jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa askofu mkuu wa dar es salaam mhashamu jude thaddeus ruwa’ichi ofmcap