Ummy mwalimu: mwaka 2023 jumla ya watu 8,145,576 walipima virusi vya ukimwi (vvu) na watu 163,131 kati yao walingundulika kuwa na maambukizi ya virusi